Thursday, March 25, 2010

kumbukumbu za matukio haya ni muhimu

picha ya pamoja baadi ya azise zilizopo mwanza, bodi member ya mpc na mkurugenzi wa utpc + moro press

karibu tena mwanza moro press club

Mkurugenzi wa UTPCakiwatakia safari njema moro press club

peacock

hapa peacock akitokea UK ya TZ ndani ya Meli hali ya ziwa haikuwa shwari kiasi cha kutoka nje kupata upepo la sivyo mtu angeweza tapika

moro press club

moro press club wakiwa kwenye ziara yao hapa wapo ofisi za UTPC Mwanza