Thursday, November 26, 2009

Kamanda wa polisi akikagua baadhi ya vitu vilivyokamatwa

Watuumiwa wa uporaji katika gari la fuso

Mr.Peik akiwa na George Ramadhani

Wa mbele ni Devota Sotel wa Passion FM, kushoto ni Legal Advisor wa MPC wakiwa na trainer wao Mr, Peik

Watanzania hao wakiwa katika mapumziko kidogo ya internet

Mr.Peik and Miss Tausi

wakielekezana mambo fulani katika mafunzo ya internet

Facilitator wakijadiliana mara baada ya short break ya mafunzo ya internet


Kulia ni trainer Mr. Peik akiwa na Marcom kwenye chumba cha mafunzo hayo.

Jinsi gani watu hawa wakiwa serious katika mafunzo ya internet


Huyu ni legal Advisor MPC pembeni ni editor wa UTPC Calvin Jilala

wanabadilishana mawazo kwenye mafunzo ya internet


kutoka kushoto ni Noel wa sauti katikati ni Mr.Mjengwa na Tibaijuka wa sauti wakibadilishana mawazo

Internet training


Mafunzo ya internet yaliofanyika BOT picha hii ya pamoja ni siku ya mwisho ya mafunzo hayo

Wednesday, November 25, 2009

Miinuko mizuri inayopatikana katika hifadhi ya wanyama GOMBE

Kijiji hiki ni kilomita kadhaa kutoka hifadhi ya GOMBE


WANANCHI KATIKA KIJIJI HIKI, WANAISHI KANDO YA ZIWA TANGANYIKA NJE KIDOGO YA HIFADHI YA WANYAMA GOMBE. HUTUMIA USAFIRI WA MITUMBWI NA BOTI NDOGO KUSAFIRI KILOMITA TAKRIBANI KUMI KUFUATA MAHITAJI YAO YA KILA SIKU. KIJIJI HIKI HAKINA SOKO.

Sokwe hawa wanapatikana katika hifadhi ya wanyama Gombe katika mkoa wa KIGOMA


HAPA NI WAKATI WAKUU WA FAMILIA WAKIFIKIRI KUHUSU FAMILIA YAO