WANANCHI KATIKA KIJIJI HIKI, WANAISHI KANDO YA ZIWA TANGANYIKA NJE KIDOGO YA HIFADHI YA WANYAMA GOMBE. HUTUMIA USAFIRI WA MITUMBWI NA BOTI NDOGO KUSAFIRI KILOMITA TAKRIBANI KUMI KUFUATA MAHITAJI YAO YA KILA SIKU. KIJIJI HIKI HAKINA SOKO.
Wednesday, November 25, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment